Wednesday, November 28, 2012

Mafundisho ya Mwalimu Mwakasege

So wiki hii nitakuwa natoa vipengele mbali mbali vya mafundisho ya Mchungaji Mwakasege. Napendelea kumuita Mwalimu kwa maana kipaji alicho nacho juu ya ufundishaji hakina mfano. Natumaini kila mmoja ataguswa kwa namna yake.
MIMI NI MUNGU WAKO- katika ulimwengu wa roho miungu yoyote ikitaka kukugusa inapambana na yeye.
MIMI NI BWANA MUNGU WAKO- maana yake wewe ni property yake. Yaani anakumiliki. Israelei ni property ya Mungu when you mess with them you mess with God. Kama gari yako ni mtumba ni yako. Mtu akikuonyooshea kidole it doesn’t change anything, gari inabaki kuwa yako tu.
Mbarikiwe!

 

2 comments:

  1. Ahasnte sana Mke Mwe kwa vipengele vya mafundisho ya Mwakasege. Kwani nilifanikiwa kusikiliza nikiwa kazini na wakati mwingine nikawa napitiwa au inbidi nivue blue tooth kumsikiliza mteja.....yaani kwa kweli nimefarijika. Thanks again

    ReplyDelete
  2. No problem Mke Mwee!Nilikuwa busy kidogo sikuweka kitu, but soon nitapost something. Im glad ulifarijika na utaendelea kufarijika

    ReplyDelete