Karibuni katika blog hii, mahali ambapo utajifunza kuishi na kuenenda katika njia ya Kikristo na kusaidiana kukua kiroho kwa kusoma na kufundishana neno la Mungu. Ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wenu atabarikiwa.
Friday, November 23, 2012
You hold me now!
No weeping, no hurt or pain, no suffering.... Thank you Jesus for loving me. I will forever be thankful to you.
Monday, November 19, 2012
Ujumbe wa Leo
“Angalia, siku zinakuja,
asema Bwana Mungu, ambazo nitaleta njaa katika nchi, si njaa ya kukosa chakula,
wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya Bwana.” Amosi
8:11
Tumia wakati wako vizuri kumtafakari
Mungu na ukuu wake wa ajabu. Kama maandiko yanavyosema hapo juu, kuna wakati
utatafuta walau mtu wa kukufundisha neno la Mungu hautapata. Kuna wakati
utahitaji huduma za kiroho toka kwa watumishi mbali mbali hautaupata.
Tusingojee wakati huo ufike ambapo tutalia na kusaga meno kwa kiu ya kutaka kuskia neno la Mungu. Mtumikie Bwana na
tafakari maandiko yake matakatifu nawe utaona raha ya kuishi kwa kumtegemea
yeye.
Muwe na Siku njema!
Subscribe to:
Posts (Atom)