TAFAKARI: Akili
ikifungwa mtu haoni ugumu wa dhambi. Kwa maana hiyo huo ni Upofu wa mawazo na
hivyo kumfanya mtu ashindwe kufanya maamuzi yoyote.
SALA: Mwenyezi
Mungu, nakuja mbele zako nikinyenyekea na kukuomba utakase ufahamu wangu niweze
kufikiria na kuyafanya yale yakupendezayo. Katika jina la Yesu naomba na
kupokea, Amen.
No comments:
Post a Comment